@Peter Msechu-Balozi wa miundombinu akiitangaza TORITA

@Peter Msechu-Balozi wa miundombinu akiitangaza TORITA

Posted On 05th Dec 2023

peter_msechu's profile picture Nikiwa kama Balozi wa Miundombinu Nilipata nafasi ya kutembelea Mashamba ya wakulima wa Tumbaku na kujionea Faida kubwa ya Mbegu ya Tumbaku aina ya K326 inayozalishwa na TORITA @researchtobacco Faida ya mbegu K326 ni 1. Ubora wa hali ya juu sokoni 2. Haiharibiwi na hali ya hewa(ustahimili wa ukame 3. Inakauka vizuri kwenye bani 4. Mavuno yake ni kuanzia kg1800 mpaka 2000kg