News
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
Mkurugenzi wa Utafiti kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Tumbaku Tanzania (TORITA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi ya Mtunza Kumbukumbu Msaidizi (RMA) kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa Siku ya tarehe 21-10-2023 kuanzia saa 2:00 Asubuhi na hatimaye kumpangia kituo cha kazi mwombaji kazi atakayefaulu usaili huo.
Venue: Usaili utafanyika DODOMA kwenye ukumbi uliopo katika ofisi ya Ushirika (Wizara ya Kilimo), Jirani na ofisi ya CCM Makao Makuu / Mkabala na Nyerere Square.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
i.Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
ii. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
iii.Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, Kidato cha VI, Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
iv. Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
v.Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
vi.Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
vii.Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
viii.Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
ix.Msailiwa haruhusiwi kuja na simu au kifaa chochote cha kielekroniki kwenye eneo la usaili.
ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KWENYE USAILI WA MTUNZA KUMBUKUMBU MSAIDIZI
NA. | JINA | ANUANI |
1. | CONSOLATA S. MGOWANO | P.O.BOX 9091 UKONGA DAR ES SALAAM |
2. | MARIAM MIKIDADI RWAMBO | P.0.BOX 2209 MBEYA |
3. | AMIDA ASEGELILE MWAKYOMA | P.O.BOX 223 MBOZI-SONGWE |
4. | ASIA ALLY MAPUNDA | P.O.BOX 46343 TEMEKE DAR ES SALAAM |
5. | BOAZ EZEKIEL ZEPHANIA | P.O.BOX 42912 DAR ES SALAAM |
6. | SALOME DOCTOR MWAKAMKALI | P.O.BOX 202 MONDULI - ARUSHA |
7. | GETRUDA BITURO | P.O. BOX 79 KALIUA |
8. | BARAKA AMOSI SUNGURA | NONE |
9. | LIBE HAILE KAYUNI | P.O.BOX 9230 DAR ES SALAAM |
10 | NIVARD CHRISTOPHER LUOGA | P.O.BOX 194 MUSOMA - MARA |
11 | CHED BARNABA | P.O.BOX 1 MZUMBE - MOROGORO |
12 | LUCY FRANCIS KIPIKI | P.O.BOX 1574 DAR ES SALAAM |
13 | ETHELY ELIAS | P.O.BOX 174 TABORA |
Imetolewa na,
Bi. Magdalena RaphaelKaimu Mkurugenzi wa Utafiti